MATUKIO KATIKA PICHA -SEMINA YA BARAZA JIPYA LA MADIWANI
Posted On: December 9th, 2020
Baraza jipya la Madiwani lililoapishwa tarehe 07/12/2020 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa limeendelea kupata semina ihusuyo uelewa wa uendeshaji wa Serikali za Mitaa.
Afisa Utumishi Mkuu Bi.Fauzia Nombo akifafanua jambo
Mada zinazofundishwa katika Semina hiyo ni Uongozi na Utawala Bora, Uwajibikaji, Majukumu haki na stahiki za Madiwani, Sheria za Serikali za Mitaa pamoja Sheria za Manunuzi.
Watoa mada katika Semina hiyo ni Sekretarieti ya maadili ya Utumishi wa Umma pamoja na Wataalamu kutoka Chuo Cha Hombolo.
Imeandaliwa na
Kitengo Cha Habari na Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni
0 comments:
Post a Comment