MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe Songoro Mnyonge akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Manispaa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya pili ya mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo aliwataka Waheshimiwa Madiwani kushirikiana na wadau mbalimbali katika maeneo yao kutatua kero za wananchi.
Imeandaliwa na
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni.
Matangazo
- TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGEFebruary 22, 2021
- TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINAFebruary 18, 2021
- TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAAJanuary 22, 2021
- HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONIDecember 04, 2020 Tazama zote
0 comments:
Post a Comment