UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.
Posted On: March 17th, 2021
Mhe Michael Urio, Diwani wa Kata ya Kunduchi na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Huduma za Uchumi,Afya na elimu akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa kamati hiyo robo ya pili.
Wenyeviti wa kamati tano za kudumu waliwasilisha taarifa zao katika mkutano huo. Kamati hizo ni Kamati ya Huduma za Uchumi afya na elimu, Kamati ya Maadili, Kamati ya fedha na Uongozi, Kamati ya kudhibiti UKIMWI na Kamati ya Mipangomiji.
Imeandaliwa na
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni
Matangazo
- TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGEFebruary 22, 2021
- TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINAFebruary 18, 2021
- TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAAJanuary 22, 2021
- HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONIDecember 04, 2020 Tazama zote
0 comments:
Post a Comment