Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Amuezi baba wa Taifa kwa Kuwaongoza wananchi kufanya usafi katika fukwe za Coco Beach
Mkuu wa wilaya Kinondoni Municipal Mh. Ali Hapi leo asubuhi ameongoza watumishi wa Manispaa ya Kinondoni, Wanafunzi na Wananchi wa Kinondo...