Top ad

Top ad

Mkuu wa wilaya Kinondoni Municipal Mh. Ali Hapi leo asubuhi ameongoza watumishi wa Manispaa ya Kinondoni, Wanafunzi na Wananchi wa Kinondoni kufanya usafi katika fukwe za Coco beach kama njia ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere, Washiriki walikuwa ni pamoja na Watendaji wa kata, Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,Viongozi wa vyama nk.#KinondoniYetuFhariYetu

0 comments:

Post a Comment

 
Top