Top ad

Top ad


Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ni miongoni mwa Halmashauri nchini Tanzania iliyowezesha vijana kushiriki wiki ya vijana Mkoani simiyu.
Vijana hao wamewezeshwa kwa kupewa Mikopo , Semina elekezi za jinsi ya kujiajiri na elimu ya kutosha katika maswala ya ujasiriamali,kama vile .ile uchoraji wa picha , utengenezaji wa mabatiki, kudizaini mabegi,na pochi ambazo. ni sehemu kubwa ya kipato cha maisha yao na wamefanikiwa kujikwamua kimaisha
Abdallah Sarange, Mwajuma Maulidi na Dalati Said Hassan,(katika picha), ni miongoni mwa vijana wajasiriamali waliotoka Manispaa ya Kinondoni kuwakilisha vijana wenzao katika wiki ya vijana Mkoani Simiyu kwa kuonesha bidhaa zao na watanzania hupata fursa ya kuona, kutambua, na kuunga mkono kazi zao

0 comments:

Post a Comment

 
Top