MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA
YA KINONDONI ANAWAHIMIZA WANANCHI WAKAZI WA KINONDONI KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU
YA TAREHE 0I/10/2016 KUMUUNGA MKONO MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. PAUL
MAKONDA KATIKA KAMPENI YA UPANDAJI MITI INAYOAMBATANA NA KULI MBIU ISEMAYO "MTI
WANGU".
EWE MWANANCHI KUWA MZALENDO,
JITOKEZE KUPANDA MTI NA KUHAKIKISHA UNAUTUNZA KWA FAIDA ZA MAZINGIRA YETU YA
SASA NA BAADAE
.
MTI WANGU, UHAI WANGU, PANDA MTI TUNZA MAZINGIRA.
ARON T.KAGURUMJULI
MKURUGENZI WA MANISPAA YA
KINONDONI
Kinondoni Municipal Director
P.O. BOX 31902
Dar es Salaam
Tel: +255 22 2170173
Fax: +255 22 2172606
E-mail: md@kinondonimc.go.tz
website: www.kinondonimc.go.tz
info@kinondonimc.go.tz,
0 comments:
Post a Comment