KINONDONI YAKABIDHIWA APATIMENTI 17 ZA MAJENGO YA UWEKEZAJI KUTOKA KWA MWEKEZAJI WA OSTERBAY VILLA.
Posted On: March 18th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Daniel Chongolo amepokea Apatimenti hizo ikiwa ni baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya kimkataba Kati ya Manispaa ya Kinondoni na mwekezaji Osterbay Villa kwa mazungumzo Kati ya pande mbili kutokana na kuondoa kesi iliyodumu kwa zaidi ya miaka 8 mahakamani.
Aidha kwa mijibu wa makubaliano ya mradi huu wa uwekezaji asilimia 60 ya mapato yatakuwa Chini ya Manispaa ya Kinondoni na asilimia 40 yatakuwa Chini ya Manispaa ya Ubungo.
Amezitaja Apatimenti hizo Kuwa ni zile zilizopo Katika majengo ya 277 MAWENZI RD na 322 RUVU RD.
Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni mhe Benjamin Kawe sitta amewapongeza wakuu wa wilaya ya Kinondoni na ubungo kwa kufanikisha makubaliano hayo yaliyowezesha kupatikana mapato yatakayotumika kugharamia huduma mbalimbali za kijamii Katika Manispaa zote mbili.
Imeandaliwa na
kitengo Cha Habari na Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni.
Picha Jongefu
Viunganishi vya Haraka
Related Links
- TAMISEMI
- eGoverment Agency
- Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
- TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.
World visitors tracker
Wasiliana nasi
Dar es salaam, Tanzania
Anuani ya Posta: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
simu: +255 22 2170173
Mobile:
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Visitors Counter
writingMasterThesis
Hatimiliki
0 comments:
Post a Comment