Top ad

Top ad

 

MATUKIO KATIKA PICHA

Posted On: December 17th, 2020

Kamati ya Fedha na Uongozi chini ya Mwenyekiti wake Mstahiki Meya Mhe.Songoro Mnyonge ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mwananyamala leo wamefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi.

Kamati hiyo imefanikiwa kutembelea miradi ambayo vyanzo vyake ni mapato ya ndani pamoja na ruzuku kutoka Serikali kuu.

Miradi iliyotembelewa ni ujenzi wa jengo la utawala lililoko katika kata ya Ndugumbi, ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa Mwenge, na ujenzi wa stendi ya kisasa ya daladala inayojengwa kwa fedha za ndani na Ile inayojengwa kwa fedha za ruzuku kutoka Serikali kuu ni ujenzi wa soko la Kisasa Magomeni na Tandale.

Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano .

Manispaa ya Kinondoni.

0 comments:

Post a Comment

 
Top