Kamati ya Fedha leo imetembele na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Maabara katika Manispaa ya Kinondoni, Naibu Meya Mh Songoro Mnyonge aliwahimiza wakandarasi kuhakikisha maabara hizo zina ubora unaotakiwa. Manispaa ya Kinondoni ina Wajibu wa kujenga Maabara 126, Maabara hizi zipo za aina tofauti kuna ambazo ni Ghorofa na nyingine na za vyumba vya chini Maabara hizi zipo katika Hatua mbalimbali ya Utekelezaji na Zipo nyingine zimekamilika kwa asilimia 95% Picha mbalimbali zikionyesha wajumbe wa kamati hiyo katika ziara
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh Songoro Mnyonge Akiwa juu ya jengo la Maabara Akiwa anakagua Maendeleo ya Ujezi wa maabara katika Sekondari ya Makumbusho Maabara hii ni ya Ghorofa |
Manispaa ya Kinondoni yafanya hafla ya kuwatambua wenyeviti wa mitaa
wanaomaliza muda wao kwa kuwatunukia vyeti pamoja na pesa taslim,katika
hafla hiyo mgeni rasmi, alikuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni
Mheshimiwa Yusuph Mwenda , zifuatazo ni picha zilizochukuliwa katika
hafla hiyo.
0 comments:
Post a Comment