
Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni inawaomba watu binafsi, wafanyabiashara, Makampuni, Tasisi na Mashirika ya ndani na nje ya Nchi kuunga mkono jitihada zake katika kutekeleza agizo la Mh Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ya kuhakikisha inajenga Maabara za kudumu katika shule zote za Sekondari Kata ifikapo November 30, 2014 kwani jitihada za Manispaa pekee hazitawezesha kufkia malengo kutokana na ufinyu wa bajeti.
0 comments:
Post a Comment