Kuwa mzalendo penda vya nyumbani
Karibu ufanye booking yako leo kupitia tovuti yetu www.airtanzania.co.tz au tupigie simu kupitia namba hizi; +255 782 737730 /737732
Kuwa mzalendo penda vya nyumbani
Karibu ufanye booking yako leo kupitia tovuti yetu www.airtanzania.co.tz au tupigie simu kupitia namba hizi; +255 782 737730 /737732
DC HAPI AENDELEA NA ZIARA KATA YA MAGOMENI- KINONDONI
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi leo ameendelea na ziara yake katika kata ya magomeni ambapo pia alishiriki kikao cha Kamati ya...
WALIMU WAKUU WATAKIWA KUONDOA VIBANDA VYA BIASHARA KWENYE MAENEO YA SHULE.
Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kuhakikisha wanaondoa vibanda vya biashara vilivyopo ndani ya maeneo...
VIBANDA VYA KUONESHA VI DEO MARUFUKU MANISPAA YA KINONDONI.
W atendaji wa Kata, Mitaa pamoja na Maafisa Afya wametakiwa kuhakikisha wanasimamia na kuviondoa vibanda vyote vya kuonesha video kwen...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Amuezi baba wa Taifa kwa Kuwaongoza wananchi kufanya usafi katika fukwe za Coco Beach
Mkuu wa wilaya Kinondoni Municipal Mh. Ali Hapi leo asubuhi ameongoza watumishi wa Manispaa ya Kinondoni, Wanafunzi na Wananchi wa Kinondo...
MANISPAA YA KINONDONI YAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI KUSHIRIKI WIKI YA VIJANA MKOANI SIMIYU
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ni miongoni mwa Halmashauri nchini Tanzania iliyowezesha vijana kushiriki wiki ya vijana Mkoani sim...
MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA YAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI SIMIYU
Vijana nchini Tanzania wametakiwa kuonesha juhudi, kuwa na uchu wa maendeleo, dhana ya kujiajiri pamoja na kiu ya kugundua na kujis...