HABARI KATIKA PICHA-MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI.

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakiwa katika mkutano wa kupitisha taarifa ya mapato na matumizi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2020/2021.
Katika kipindi hiki cha Oktoba –Desemba Halmashauri imepokea na kukusanya Jumla ya Tsh 4,938,023,120.85 sawa na asilimia 64.7% ya makisio ya kukusanya Tshs 7,629,852,875,00.
Imeandaliwa na
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Manispa ya Kinondoni.
Matangazo
- TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGEFebruary 22, 2021
- TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINAFebruary 18, 2021
- TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAAJanuary 22, 2021
- HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONIDecember 04, 2020 Tazama zote
0 comments:
Post a Comment