MKURUGENZI WA MAISPAA BI SIPORA LIANA AKITOA UFAFANUZI WA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bi Sipora Liana akitoa majibu na ufafanuzi wa maswali ya papo kwa papo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la kupitisha Taarifa ya mapato na matumizi robo ya pili 2020/2021.
Jumla ya maswali matano ya papo kwa papo yaliulizwa na kutolewa majibu na ufafanuzi kuhusu sekta za elimu, miundombinu na ustawi wa Manispaa kwa ujumla.
Imeandaliwa na
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Manispaa ya Kinondoni.
Matangazo
- TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGEFebruary 22, 2021
- TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINAFebruary 18, 2021
- TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAAJanuary 22, 2021
- HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONIDecember 04, 2020 Tazama zote
0 comments:
Post a Comment