Top ad

Top ad

KUELEKEA KILELE CHA MAAZIMISHO YA SHEREHE ZA MAONESHO YA NANENANE YENYE KAULI MBIU ISEMAYO "KILIMO, MIFUGO NA UVUVI KWA MAENDELEO YA UKUAJI WA UCHUMI WA NCHI , TEMBELEA BANDA LA KINONDONI UPATE ELIMU KUHUSINA NA UFUGAJI WA NGOMBE NA MBUZI WA MAZIWA NA NYAMA, KUKU WA KIENYEJI NA CHOTARA, UFUGAJI WA SUNGURA NA USHAURI WA UCHIMBAJI WA MABWAWA BORA YA SAMAKI NA KILIMO BORA CHA MBOGAMBOGA NJOO UJIFUNZE KUTOKA KWA WATAALAMU WALIOBOBEA.
                             Banda la manispaa ya Kinondoni ambalo yake kuna mfereji uliotengenezwa kama bwawa dogo kwaajili ya kuonesha ufugaji wa samaki wa kisasa na kuna samaki aina ya kambale wa kutosha 

watu wanaotembelea kujionea bidhaa mbalimbali katika banda la Kinondoni
Shamba la mboga mboga
Banda la
kuku wa kisasa

  
Shamba la mahindi na mbele yake kuna shamba la zao la mikunde



  

Shamba la migomba
Ng"ombe wa  maziwa




0 comments:

Post a Comment

 
Top