Top ad

Top ad

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Salum hapi Leo ameupokea Mwenge wa Uhuru ukitokea katika wilaya ya Ilala ambapo ulizindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Mwenge wa uhuru upo Kinondoni kwa ajili ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo shime wananchi tuungane sote katika kuiletea Kinondoni yetu maenedeleo.
Mkuu wa wilaya Ya Kinondoni Mh Ali Hapi akiwa Ameubeba Mwenge wa Uhuru Leo hii Katika Wilaya yake ya Kinondoni, Mwenge wa Uhuru Utazindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo Katika Manispaa ya Kinondoni. Wananchi wote mnakaribishwa 

0 comments:

Post a Comment

 
Top